
Filamu 70 zapenya Tamasha la ZIFF
Dar es Salaam. Filamu 70 zitachuana kuwania tuzo kwenye tamasha la 27 la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF) litakaloanza Agosti mosi hadi 4 visiwani Zanzibar. Filamu hizo ni kati ya 3,000 zilizopokewa kutoka mataifa mbalimbali duniani na 70 kupenya kwenye mchujo. Filamu za Afrika Mashariki zilizowasilishwa zilikuwa 354 ambazo kutoka Kenya ni 169, Uganda…