VIJANA RUANGWA WAENDELEA KUJITOKEZA KUWASILISHA MAOMBI YA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII KUPITIA MPANGO JUMUISHI

Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chirangalile kata ya Makanjiro Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi Mohammed Rashidi Abdallah akitoa maelezo kwa mwombaji nafasi za Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii kupitia Mpango Jumuishi Viola Ngonyani Na. Elimu ya Afya kwa Umma. Vijana katika maeneo mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi weendelea…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Yanga kumpeleka Gift APR

BAADA ya beki wa kati Mganda Gift Fred kudaiwa kwamba amekosa namba kwenye kikosi cha Yanga, hivi sasa inaelezwa timu hiyo itamtoa kwa mkopo kwenda kwa mabingwa wa Rwanda, APR. Beki huyo alijiunga na Yanga wakati wa usajili wa dirisha kubwa, Julai 7, mwaka jana, akitokea SC Villa ya Uganda, lakini inaelezwa atatolewa kwenda Rwanda…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AMEFUNGUA TAMASHA LA MWAKA KOGWA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua Tamasha la Mwaka Kogwa Makunduchi lililofanyika katika viwanja vya Kae Kuu Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja leo 16-7-2024 na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamati ya Mwaka Kogwa.Mwita Masemo Makungu na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja…

Read More

SIMBA YAMPA ‘THANK YOU’ PA OMAR JOBE

  Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na mshambuliaji Pa Omar Jobe (25) baada ya kipindi kifupi cha miezi sita. Jobe alijiunga na Simba akitoke katika timu ya Zhenis inayoshiriki Ligi Kuu nchini Kazakhstan. Baada ya kutua Unyamani ambapo alianza kwa kuonesha kiwango kizuri lakini baadae mambo yakaanza kuharibika. Akiwa Simba…

Read More

Bosi adaiwa kumuua mhudumu wa ‘grocery’ kisa 50,000

Njombe. Mhudumu wa grocery ya kuuza vinywaji Faraja Bembela (28), mkazi wa Kijiji cha Lusisi kilichopo wilayani Wanging’ombe ameuawa kwa kunyongwa na mtu anayedaiwa kuwa ni bosi wake (jina limehifadhiwa) kwa madai ya kusababisha hasara ya Sh50,000. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga hayo amesemwa hayo leo Jumanne Julai 16, 2024 wakati akizungumza…

Read More

Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la Msingi upanuzi na ukarabati wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga Mkoani Rukwa

RAIS Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la Msingi upanuzi na ukarabati  wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga Mkoani Rukwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi vihenge na maghala ya kisasa ya kuhifadhia nafaka ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA), Kanondo,…

Read More

MZEE WA KALIUA: Ahmed Ally ni kama jeshi

KAMA kuna mtu anafanya kazi ngumu kwenye mpira wa sasa hapa nchini ni meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba. Ahmed Ally ndilo jina lake. Wakati mwingine unahitaji kujifyatua akili. Wakati mwingine unaweza kuonekana kama umedata. Sio kazi rahisi kuisemea Klabu ya Simba hata kidogo. Simba iliyokosa ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo….

Read More