
TUMIENI JENGO LA HALMASHAURI KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI
Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kutumia jengo jipya la halmashauri kutoa huduma bora kwa wananchi. Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito huo kwa watumishi wa halmashauri hiyo, wakati akiongea na wananchi wa Kalambo…