
MBUNGE ZUENA BUSHIRI AWASHA MOTO MWANGA..
NA WILLIUM PAUL, MWANGA. MBUNGE wa viti maalum kupitia mkoa wa Kilimanjaro, Zuena Bushiri ameendelea na ziara yake wilayani Mwanga ambapo amekabidhi mashuka yaliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kituo cha Afya cha Mwanga. Akikabidhi mashuka hayo, Zuena alisema kuwa serikali ya awamu ya sita imeendelea kupambana kuhakikisha changamoto zinazoikabili sekta ya Afya…