
Durant kumpa namba Tatum | Mwanaspoti
KATIKA hiyo timu ya Taifa ya Marekani ya mchezo wa kikapu (Team USA) kuna shughuli pevu ya wachezaji unaambiwa, kuelekea michuano ya Olimpiki nchini Ufaransa ambapo imejaa mastaa unaowajua wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA). Kuanzia LeBron James, Steph Curry, Jayson Tatum, Anthony Edwards, Anthony Davis, Kevin Durant, Jrue Holiday na Joel Embiid ambao ndani…