
Tume ya Ulaya kuususia kwa kiasi Urais wa EU wa Hungary – DW – 16.07.2024
Baraza kuu la Umoja wa Ulaya mjini Brussels limechukua hatua hiyo ya kususia kwa kiasi fulani urais wa umoja wa ulaya wa zamu unaoshikiliwa na Hungary kwa muhula wa miezi sita kuonesha kutoridhika na ziara za Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orbanambazo alizitaja kama ni “ujumbe wa amani” alizofanya mara tu baada ya kuchukua nafasi…