
Rais Dkt. Samia kuzindua vihenge, maghala ya kisasa ya Wakala wa NFRA, Kanondo Rukwa
Matukio mbalimbali Mkoani Rukwa ambapo wananchi wamejikusanya kumshuhudia Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye leo tarehe 16 Julai 2024 anatarajiwa kuzindua vihenge na maghala ya kisasa ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), katika eneo la Kanondo, Mkoani Rukwa. Kukamilika kwa Mradi huo kumewezesha NFRA kuongeza uwezo…