RPC Mkama ataka wananchi kutunza miondombinu reli SGR

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama amekaa kikao na Polisi Kata wanao zihudumia Kata zilizopitiwa na mradi wa treni ya mwendokasi (SGR) na kupanga Mikakati ya Ulinzi wa miundombinu ya reli hiyo. Akiongea na Polisi Kata hao wenye vyeo vya Wakaguzi na Wakaguzi Wasaidizi ,Rpc Mkama amesema, Morogoro imepitiwa kwa kiasi kikubwa…

Read More

Onyango mambo freshi akitua Dodoma Jiji

BEKI Mkenya, Joash Onyango msimu ujao atakuwa sehemu ya kikosi cha Dodoma Jiji baada ya usajili wake kukamilika kuichezea timu hiyo kwa mkopo wa miezi sita. Onyango kwa mara ya kwanza kucheza Ligi Kuu Bara ilikuwa msimu wa 2020/21 ambapo alijiunga na Simba akitokea Gor Mahia ya Kenya na baada ya kuachana naye alijiunga na…

Read More

CHATANDA ASEMA DKT. SAMIA AMTUA NDOO MAMA KICHWANI KWA KULETA MRADI MAJI KASULU – MWANAHARAKATI MZALENDO

  MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda amesema serikali imepeleka zaidi ya sh. Bilioni moja katika katika kata ya Nyamungusi wilayani Kasulu Mkoani Kigoma Pia, amewaomba wanawake kuendelea kuunga mkono jitihada za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye amemtua ndoo mama kichwani kwa kupeleka huduma maji hadi majumbani. Chatanda alisema hayo…

Read More

Ruto aishutumu taasisi ya Marekani kufadhili maandamano ya Gen Z

Nakuru. Rais wa Kenya William Ruto ameishutumu Taasisi ya Ford Foundation ya Marekani kwa kudhamini maandamano ya Gen Z yaliyotokea mwezi uliopita nchini humo. Ruto amesema hayo jana Jumatatu Julai 16, 2024 wakati akizungumza mjini Nakuru. Amedai kuwa taasisi hiyo ililipa na kukodi waandamanaji waliosababisha ghasia. “Nataka niulize watu wa Ford Foundation watuambie hiyo pesa…

Read More

Kashai Mtafanya Biashara Kidijitali: Waziri Nape

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stephen Byabato wametinga katika Soko la Kashai mjini Bukoba jana usiku na kushiriki kikao cha wafanyabiashara wa soko hilo. Wafanyabiashara wa soko hilo walikutana jana Julai 15, 2024 usiku kwa ajili kushiriki kikao…

Read More