MBUNGE KIMEI AANZA ZIARA JIMBONI

Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei akizungumza na wananchi wa vijiji vya Kisangesangeni na Miwaleni kata ya Kahe, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hii leo. Kimei yupo jimboni kuzungumza na wananchi wa Jimbo hilo kusikiliza na kutolea ufafanuzi wa masuala na kero mbalimbali zinazowakabili wananchi. Katika ziara yake hiyo…

Read More

Naibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kupunguzwa kwa matumizi makubwa ya silaha na hatua za haraka ili kuokoa SDGs – Masuala ya Ulimwenguni

Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu Antonio Guterres, Amina Mohammed kuitwa kwa hatua za haraka na madhubuti kuwaokoa wanaolegea Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). “Migogoro huko Gaza, Sudan, Ukraine, na kwingineko inasababisha hasara kubwa ya maisha na kugeuza umakini wa kisiasa na rasilimali chache kutoka kwa kazi ya haraka ya kumaliza umaskini na kuepusha janga…

Read More

RAIS SAMIA AMETOA MILIONI 105 KUKARABATI SHULE YA MVINZA NA MILIONI 365.5 ZILIZOJENGA SHULE MPYA – KATIMBA – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Mhe. Zainab Katimba amesema, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa milioni 105 zilizoboresha miundombinu ya Shule ya Msingi Mvinza na milioni 365.5 zilizojenga shule mpya ya Msingi ya Songambele ambayo imepunguza msongamano wa wanafunzi uliokuwepo katika shule ya Mvinza wilayani Kasulu.   Mhe. Katimba amesema hayo, wakati akizungumza…

Read More

WANAWAKE WATUMISHI WIZARA YA FEDHA WAJA MKAKATI WA USHIRIKIANO KUPITIA GOLDEN WOMEN GALA (HAZINA) 2024.

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Wanawake Watumishi na waliowahi kuwa Watumishi wa Wizara ya fedha ambao wanaunda umoja wa Golden Women Gala wametakiwa kutochukiana na kutokuwa sababu ya yeyote kutofanikiwa katika kazi na hasa katika upandaji wa vyeo na mambo mengine. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Jenipher Chirstian Omolo mapema Jijini…

Read More

PUMZI YA MOTO:  Simba, Aishi tatizo ni hili!

KIKOSI cha Simba kipo Misri kikijiandaa na msimu mpya wa 2024/25 bila kuwa na kipa namba moja kwa misimu takriban sita kabla ya ule uliopita, Aishi Manula. Kipa huyo ameachwa nyumbani kwa kile kinachodaiwa kwamba hayupo katika mipango ya timu, lakini mwenyewe inadaiwa kwamba hajaambiwa kitu. Manula anadaiwa kwamba anatamani kuondoka Msimbazi, lakini bado ana…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Ambokile anasa kwa KenGold

STRAIKA aliyemaliza mkataba ndani ya kikosi cha Mbeya City inayoshiriki Ligi ya Champioship, Eliud Ambokile, yupo kwenye hatua za mwisho kujiunga na timu ya KenGold. KenGold iliyopanda daraja kushiriki Ligi Kuu Bara msimu ujao inaendelea kukisuka kikosi chake huku ikitua kwa Ambokile ikiwa na matumaini kwamba atakuwa msaada eneo la ushambuliaji kutokana na uzoefu alionao….

Read More