Sudan Kusini inakabiliwa na mzozo wa kibinadamu unaoongezeka, inaonya WHO – Masuala ya Ulimwenguni

Shirika la afya la Umoja wa Mataifa lilisisitiza kuwa machafuko ya kibinadamu, kiuchumi, kijamii na kisiasa ambayo yalianza na vita vya kikatili vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2013 yamezidishwa na wimbi la hivi karibuni la wakimbizi kutoka Sudan kufuatia vita kati ya wanamgambo wanaohasimiana huko. zaidi ya watu 650,000 waliowasili tangu Aprili 2023. Hivi sasa,…

Read More

Makandarasi wapewa siku 14 ujenzi barabara Dar

Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam limewapa wakandarasi siku 14 za uangalizi katika ujenzi wa barabara na endapo watashindwa hawatasita kuvunja nao mkataba. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Julai 15, 2024 na Meya wa Jiji hilo, Omar Kumbilamoto katika hafla ya kusaini mikataba na wakandarasi watakaojenga barabara 20 zilizopo ndani ya jiji hilo kwa…

Read More

Mahakama Kuu yaridhia maombi ya wakili Kitale kuishtaki TLS

Mwanza. Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imetoa ruhusa kwa wakili Steven Kitale kuwasilisha maombi ya mapitio ya kisheria dhidi ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kuhusu uhalali wa wajumbe wa kamati ya uchaguzi ya chama hicho. Pia kuhusu TLS kupandisha ada za wanachama wake kuhudhuria Mkutano Mkuu wa mwaka (AGM) kutoka Sh118,000 hadi Sh200,000. Hata…

Read More

CCM, Chalamila watofautiana sakata la machinga Simu2000

Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Manispaa ya Ubungo, kuzingatia maoni ya wafanyabiashara wadogo maarufu kama Machinga katika mpango wake wa kuliendeleza Soko la Simu2000. Kauli hiyo ya CCM inajibu kile kilichoonekana kama hali ya kutoelewana kati ya Machinga na manispaa hiyo, baada ya kuamua kulikabidhi eneo hilo kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo…

Read More

Nenda rudi za mahakamani zawachosha washtakiwa

Dar es Salaam. Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya mauaji, Najit Joginda ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumpangia tarehe ambayo ataenda mahakamani hapo kwa ajili ya kusomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo na sio kwa ajili ya kesi yake kutajwa. Joginda, maarufu Kipaya, ametoa maelezo hayo leo Jumatatu, Julai 15, 2024 mbele ya Hakimu…

Read More