
TIC yalenga uwekezaji wa Sh26.6 trilioni
Dar es Salaam. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeeleza kuwa, mwaka huu kinalenga kusajili uwekezaji wa Dola 10 bilioni za Marekani (Sh26.6 Trilioni). Leo Jumatatu, Julai 15 2024, Mkurugenzi Mtendaji wa TIC Gilead Teri, amewaeleza waandishi wa habari kuwa lengo hilo limewekwa wakati nchi ikiendelea kuvutia uwekezaji mkubwa kutoka nje na ndani kwa kuwa na…