
Nape asimulia alivyonusurika kutapeliwa na ‘tuma kwa namba hii’
Dar es Salaam. Wakati matukio ya utapeli kwa njia ya simu yakiendelea kushamiri nchini, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametoa ushuhuda wa jinsi alivyonusurika kutapeliwa, huku akionya vijana kuacha tabia hiyo. Nape ametoa simulizi hiyo leo Jumatatu Julai 15, 2024 wakati akipokea taarifa ya hali ya mawasiliano mkoani Kigoma katika…