RAIS SAMIA AAHIDI KUFANYA “ROYAL TOUR” NYINGINE KUITNGAZA HIFADHI YA KATAVI – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kufanya filamu nyingine ya Royal Tour katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi baada ya kujionea wanyamapori mbalimbali katika Hifadhi hiyo. Dkt. Samia ameyasema hayo leo Julai 15, 2024 alipokuwa akizungumza na wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Mkoani Katavi Kauli…

Read More

Mbowe akosoa mfumo wa elimu, auita wa kibaguzi

Dar/Arusha. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amekosoa mfumo wa elimu nchini akidai ni wa kibaguzi. Amedai mfumo huo ni ishara kwamba Taifa linaenda kufa. Mbowe amesema matabaka ya elimu yanazidi kukua,  kiasi kwamba Watanzania wenye fedha hukimbilia kuwasomesha watoto wao nje ya nchi. Amedai hilo linatokana na Serikali kupuuza kujenga…

Read More

Dodoma Jiji yajichimbia Arusha | Mwanaspoti

WALIMA zabibu, timu ya Dodoma Jiji, asubuhi ya leo Jumatatu iliwasili jijini Arusha kwa ajili ya kuweka kambi ya kujiandaa na msimu ujao wa 2024/25. Ni mara ya pili kwa timu hiyo kuweka kambi Arusha tangu ilipopanda daraja kushiriki Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20. Mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka 2022 ambapo ilikuwa inajiandaa na…

Read More

CEO SIMBA ANG’ATUKA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba imeridhia kuachana na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo Imani Kajula baada ya yeye mwenyewe kuomba kuondoka pindi mkataba wake utakapoisha.   Kupitia taarifa iliyotolewa na idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo leo, Jumatatu Julai 15.2024 imeeleza kuwa Kajula ataondoka mwishoni mwa mwezi Agosti 2024…

Read More

Jinsi ya kushinda mamilioni ya Meridianbet, fanya hivi

  UNATAKA hela? Usijali Cheza Kasino ya Meridianbet michezo ya sloti ya kutoka Expanse itahusika kukupatia utajiri na mibonasi ya kasino. Jisajili hapa kisha anza safari ya ushindi. Mwisho wa promosheni ya Shindano la Expanse Kasino washindi 40, watagawiwa bonasi za kasino na pesa taslimu kwenye kaunti zao za Meridianbet. ZAWADI ZIKOJE?  Expanse Tournament inatoa…

Read More