
Bunge jipya ya Ufaransa kukutana Alhamisi wiki hii – DW – 15.07.2024
15.07.202415 Julai 2024 Wabunge kadhaa wa chama cha muungano wa mrengo wa kushoto nchini Ufaransa wamesema,kwamba chama hicho kinalenga kunyakuwa nafasi ya spika wa bunge wakati bunge hilo litakapofunguliwa kwa mara ya kwanza alhamisi wiki hii. https://p.dw.com/p/4iJaq Muungano wa vyama vya mrengo wa shoto nchini Ufaransa.Picha: Frederick Florin/AFP/Getty Images Chama hicho kimesema kinataka kupata nafasi…