Morata kwenda AC Milan kusaini mkataba wa miaka minne.

Álvaro Morata amekubali kujiunga na AC Milan kwa mkataba wa miaka minne baada ya klabu hiyo ya Italia kuanzisha kipengele chake cha kuachiliwa kwa €13m kutoka Atlético Madrid. Hatua hiyo inatarajiwa kukamilika wiki hii, huku Morata akiwa amekubaliana kwa maneno na masharti ya mkataba huo. Morata amekubali kwa mdomo mkataba wa miaka minne huko Milan,…

Read More

Namna hii unaweza kutengeneza maokoto, cheza kasino 

Unawaza njia nzuri ya kuongeza pesa zako? Cheza kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet, kuna   michezo ya sloti mingi yenye kukupa utajiri kirahisi moja ya michezo hiyo  ya kasino ya 20 Imperial Crown Deluxe.  Jinsi ya Kucheza na Sifa Zake 20 Imperial Crown Deluxe kasino mtandaoni wenye safu tano zilizopangwa katika mistari mitatu yenye mistari 20…

Read More

ZUNGUSHA NA USHINDE KIRAHISI, CHEZA KASINO

MOJA ya habari njema kuwahi kutokea ni uwepo wa historia ya kale kuhusiana na miungu, na maisha ya zamani, hadithi hizi zinafurahisha na kuelimisha sana. Kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni na Playtech wanashirikiana kukuletea mchezo wa Age of the Gods Spin a Win. Age of the Gods Spin a Win ni mchezo wa kasino ya mtandaoni ambao unaweza kukuletea ushindi wa kushangaza….

Read More

JAMII YAASWA KUENZI MILA YA UNYAGO ILI KULINDA MAADILI

Mkufunzi Dkt. Lovemore Mazibuko (kushoto) akimsikiliza mmoja wa washiriki aliyekuwa akitoa ufafanuzi wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau wa utamaduni kuhusu namna ya kuandaa orodha ya kitaifa ya urithi wa utamaduni usioshikika yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) yaliyowakutanisha wataalamu kutoka wizara za Utamaduni na Sanaa Tanzania…

Read More

Tanesco kuboresha mita za Luku Kanda ya Mashariki

Dar es Salaam. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Kanda ya Mashariki, limewataka watumiaji wa mfumo wa Lipa Umeme Kadiri Unavyotumia (Luku) kufanya maboresho yanayoendelea kwenye mfumo huo, ili kuendelea kupata huduma hiyo. Maboresho hayo ambayo yataanza Julai 22 hadi Novemba 24, yanalenga kuendana na viwango vya mifumo ya Luku ya kimataifa na kuongeza ufanisi na…

Read More