
Arusha waibuka kinara mashindano ya gofu Lina PG Tour
Na Mwandushi Wetu, Mtanzania Digital Mkoa wa Arusha umeibuka kinara wa jumla wa raundi ya tatu ya mashindano ya gofu ya Lina PG Tour baada ya wawakilishi wake Nuru Mollel kushika nafasi ya kwanza na Elisante Lemeris kushika nafasi ya pili kwa wachezaji wa kulipwa na wa ridhaa. Michuano hiyo iliandaliwa na Familia ya Nkya…