
Trump asimulia alivyookolewa, asema alipoteza viatu
New York. Mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump saa chache tangu ashambuliwe kwa risasi akiwa anahutubia, amesimulia namna alivyopoteza viatu wakati akiokolewa. Tovuti ya CNN imeripoti kuwa viatu hivyo vilipotea wakati anatolewa jukwaani na maofisa wa ‘Secret Service’ Trump ambaye ni Rais wa zamani wa Taifa hilo, alishambuliwa akiwa anahutubia Jumamosi Julai 13,…