
Masaibu ya kisheria ukiishi kama kimada
Mwanza. Gladness Mujinja, aliyeishi na Sospeter Makene kama mume na mke kwa miaka 17, amepoteza haki ya mgawanyo wa mali walizochuma kwa miaka 17 baada ya Mahakama kutamka ndoa yao ilikuwa batili, kwani aliishi kama kimada. Hayo yamo katika hukumu ya Mahakama ya Rufani Tanzania katika rufaa iliyokatwa na Makene dhidi ya Gladness, akipinga mahakama…