Yanga kuna kazi, Gamondi akuna kichwa

NDANI ya Yanga kuna kazi kwelikweli. Unaweza kusema Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Miguel Gamondi ni kama yupo katika wakati mgumu akikuna kichwa namna ya kupanga kikosi chake cha kazi, lakini upande mwingine, mastaa wa timu hiyo wanabaki tumbo joto kupambania namba zao. Hiyo inatokana na namna usajili wao ulivyofanyika kipindi hiki cha dirisha kubwa…

Read More

Israel yasema imemuua kamanda wa Hezbollah ndani ya Lebanon – DW – 31.07.2024

Kamanda huyo anatuhumiwa kupanga shambulizi lililosababisha vifo vya vijana 12 kwenye eneo ambalo Israel inalikalia kwa mabavu la Milima ya Golan. Israel iliapa kulipiza kisasi kwa shambulizi hilo la roketi la siku ya Jumamosi kwenye kitongoji cha Majdal Shams ikisema lilifanywa na  Hezbollah, madai ambayo kundi hilo imekuwa ikayakanusha. Afisa mmoja wa Israel amesema shambulizi…

Read More

Wanawake wa Afghanistan Wageukia Kazi Hatari Mtandaoni Huku Kukiwa na Marufuku ya Taliban – Masuala ya Ulimwenguni

Wanawake wengi wa Afghanistan wamegeukia biashara ya mtandaoni licha ya hatari zake, kwani aina zote za kazi ni marufuku kwa wanawake. Credit: Learning Together. Jumanne, Julai 30, 2024 Inter Press Service Mwandishi ni mwandishi wa habari wa kike anayeishi Afghanistan, aliyefunzwa kwa usaidizi wa Kifini kabla ya Taliban kuchukua mamlaka. Utambulisho wake umefichwa kwa sababu…

Read More

Serikali kudhibiti madaktari wanaofanya ‘part time’

Dar es Salaam. Kutokana na idadi kubwa ya madaktari kuwapo kijiweni, Serikali  imesema ipo katika mchakato wa kulipatia ufumbuzi  tatizo hilo, ikigusia kuwa itaanza kudhibiti wale wanaofanya kazi eneo zaidi ya moja. Zaidi ya madaktari 5,000 waliohitimu na kuwa na sifa za kuajiriwa, bado wanaendelea kusota mtaani kwa kukosa ajira rasmi, huku wakikadiriwa kutumia zaidi…

Read More

Vigogo ACT-Wazalendo, Chadema Lindi watimkia CCM

Lindi. Aliyekuwa mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi uliofanyika mjini Lindi, leo Jumanne, Julai 30, 2024. Wanachama wengine wa vyama mbalimbali wamejiunga na chama hicho, akiwamo mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mchinga, Sapanga Hamis Sapanga. Hadi…

Read More

Mkuu wa Jeshi la Anga la Namibia atembelea CATC

 Mkuu wa Jeshi la Anga la Namibia Air Vice Marshal Teofilus Shaende na ujumbe wake wametembelea Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC). Katika ziara hiyo Air Vice Marshal Shaende amepata fursa ya kufahamishwa kuhusu mafunzo yanayotolewa, mafanikio yake kitaifa na Kimataifa na mkakati  wa sasa wa serikali wa kuboresha chuo chini ya usimamizi wa Mamlaka ya…

Read More

DC Arumeru awaangukia watafiti kuhusu madini ya flouride kwenye maji

Arusha.Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Emmanuela Kaganda, amewataka watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti ya Nelson Mandela inayoshughulikia masuala ya sayansi na teknolojia Afrika, kufanya utafiti wa upatikanaji wa uchujaji wa maji ili kupunguza madini ya flouride yenye madhara kwa watumiaji. Amesema miongoni mwa madhara wanayopata wananchi kutokana na matumizi ya maji hayo yanayodaiwa kuwa na…

Read More