Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda katika muendelezo wa Ziara yake ya kikazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Katavi Dkt. Serafini Patrice kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Hospitali hiyo mara baada ya kuwasili kwenye Hospitali hiyo Mpanda tarehe 14 Julai, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza…

Read More

Jinsi Kura Inavyoakisi Mtazamo wa Wakulima kuhusu Sera ya Kilimo ya BJP ya India huku kukiwa na Mabadiliko ya Tabianchi – Masuala ya Ulimwenguni

Wakulima huko Kashmir hupanda mazao ya mpunga. Wakulima walipiga kura dhidi ya chama tawala cha BJP kwa sababu ya sera zake zisizopendwa na kukosa kuungwa mkono, kwani hali ya hewa isiyo na uhakika inaathiri maisha yao. Credit: Umer Asif/IPS na Umar Manzoor Shah (Srinagar) Jumatatu, Julai 15, 2024 Inter Press Service SRINAGAR, Julai 15 (IPS)…

Read More

DIWANI RORYA ALIA NA UFISADI TARURA

*ASIMULIA MBELE YA WANANCHI MILIONI 400/-  ZA DARAJA ZILIVYOPIGWA NA WAJANJA, MBUNGE AGUSWA Na MWANDISHI WETU-MARA DIWANI wa Kata Nyathorogo Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara, Dalmas Nyagwal, ameweka wazi namna wajanja wachache ndani ya Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) wilayani hapa walivyokwamua kiasi cha Shilingi milioni 400 za ujenzi wa Daraja…

Read More

Serikali yalipongeza TAG kwa kuimarisha makuzi ya watoto, vijana

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Serikali imelipongeza Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) kwa kujiimarisha kwenye misingi ya makuzi ya vijana na watoto na kulifanya kuwa endelevu. Kanisa hilo limehitimisha sherehe za maadhimisho ya miaka 85 tangu lilipoanzishwa mwaka 1939 na Wamisionari kutoka Marekani. Akizungumza leo Julai 14,2024 wakati wa kilele cha maadhimisho hayo…

Read More

Siri ya PPRA kuibuka mshindi wa kwanza sekta ya udhibiti

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA), imesema ushindi walioupata kwenye maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF), maarufu Sabasaba unatokana na kufanya kazi kama timu na kutoa huduma bora kwa kuhudumia wateja zaidi ya 700. Katika maonesho hayo mamlaka hiyo iliibuka mshindi wa kwanza katika…

Read More

Udom kufanya tafiti zaidi kutatua changamoto kwenye jamii

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimesema kitaendelea kufanya tafiti zaidi na kuzigeuza kuwa bidhaa zitakazoingia sokoni kwa lengo la kutatua changamoto zilizoko kwenye jamii. Akizungumza na Waandishi wa habari Mkurugenzi wa Shahada za Awali Udom, Dk. Victor Marealle, amesema wanaamini tafiti hizo zitaifikisha mbali nchi na chuo hicho. Alikuwa akizungumza…

Read More