MADINI NI MAISHA NA UTAJIRI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limetoa elimu kwa Umma namna litekeleza Vision 2030 Madini ni Maisha na Utajiri yenye lengo la kufanya utafiti wa madini wa kina kwa asilimia 50 ya nchi nzima ifikapo mwaka 2030. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO , Dkt. Venance Mwasse wakati ametembelea Maonesho ya 48 ya Biashara…

Read More

JIWE LA SIKU: Yanga inavyotukumbusha zama za BBC, MSN

MOJA ya mijadala mikubwa nchini kwa sasa ni kitendo cha Yanga kumsajili aliyekuwa kiungo wa Simba raia wa Zambia, Clatous Chota Chama ‘Triple C’ aliyetua ndani ya timu hiyo baada ya kukitumikia kikosi cha wekundu kwa miaka sita. Chama ameondoka ndani ya kikosi cha Simba alichojiunga nacho Julai Mosi, 2018 akitokea Klabu ya Lusaka Dynamos…

Read More

Manabii wacharuka, wawajibu wanaowasema mitandaoni

Dar es Salaam. Baadhi ya manabii na mitume wamefunguka wakati wa ibada wakijibu watu wanaozungumzia huduma wanazozitoa. Wiki hii kumekuwa na maoni tofauti kwenye mitandao ya kijamii kuhusu huduma zinazotolewa na viongozi hao wa dini zikihusishwa na kujipatia ukwasi mkubwa. Mwananchi pia imeandika mfululizo wa ripoti maalumu kuhusu huduma hizo, zikihusisha utozaji wa fedha ili…

Read More

Nonga: Huyu Guede anajua sana!

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa ni kocha wa viungo wa Mbeya City, Paul Nonga amemtaja Joseph Guede kuwa ni mchezaji bora kutokana na kuwa vitu vitatu muhimu kwa wachezaji wanaocheza eneo hilo la ushambuliaji. Guede aliletwa na Yanga ameitumikia timu hiyo kwa miezi sita na baadaye kupewa mkono wa kwaheri na sasa…

Read More

Simba yamganda Mpanzu, Onana aitwa Dar

BAADA ya AS Vita kupindua meza dakika za jioni katika dili la winga Mkongomani Elie Mpanzu na Simba, wekundu hao wa Msimbazi wameendelea kumganda staa huyo hadi kieleweke. Awali Simba na Mpanzu walikubaliana kusaini mkataba wa miaka miwili lakini baadae vigogo wanaommiliki Mpanzu akiwemo moja ya matajiri wapya wa AS Vita, aliingilia kati dili hilo…

Read More