
Yanga yashtuka, Chama, Dube, Baleke waondolewa!
YANGA ni kama imeshtuka vile. Baada ya kuiona Simba ipo kambini Ismailia, Misri na kusikia Azam FC nayo imeondoka nchini kwenda Morocco kuweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao, nao fasta wameamua kufanya jambo. Mabosi wa klabu hiyo wakishirikiana na kocha Miguel Gamondi, wameamua kuwaondoa mastaa wa timu hiyo akiwamo Jean Baleke, Clatous Chama na…