
Mbowe: Miradi ya maendeleo kwa wananchi si hisani
Dar/Siha. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka Watanzania kuacha kutukuza miradi ya maendeleo wanayojengewa na Serikali kwa kuwa ni wajibu wao na si hisani. Mbowe ametoa kauli hiyo leo Julai 14, 2024 alipohutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Nasai wilayani Siha, Mkoa wa Kilimanjaro. Mbowe alionekana kukerwa na kitendo…