
SHILINGI BILIONI 4.4 KUJENGA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA DKT SAMIA SULUHU HASSAN MKOANI RUVUMA
Serikali imetoa zaidi ya Sh.bilioni 4.4 kwa ajili ya kujenga shule ya Sekondari ya wasichana yenye michepuo ya masomo ya Sayansi wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma. Shule hiyo imepewa jina la Dkt Samia Suluhu Hassan,imepangiwa kuchukua wanafunzi 610 wakiwemo wa kidato cha kwanza(138)kidato cha tano(265) na wanafunzi wa kidato cha sita(210)kwa mwaka wa masomo 2024. Mkuu…