Janga la dhoruba ya mchanga na vumbi, sasisho la kibinadamu la Mali, kusogeza elimu mtandaoni – Masuala ya Ulimwenguni

Kuzindua yake ripoti ya kila mwaka ya dhoruba ya mchanga na vumbi Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) alisema usimamizi mbaya wa mazingira umefanya matukio yao kuwa mabaya zaidi. Katibu Mkuu wa WMO Celeste Saulo alitoa wito wa kuongezwa umakini kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. “Ushahidi wa kisayansi unaonyesha kuwa shughuli za…

Read More

ACT-Wazalendo, CCM wanavyonyosheana vidole uvunjifu amani Zanzibar

Unguja. Wakati Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi akieleza kuna kauli zimeanza kutolewa kuashiria uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Chama cha ACT-Wazalendo kimesema hakuwezi kuwa na amani kama hakuna haki. ACT-Wazalendo imesema licha ya viongozi wakuu kuhubiri amani, lakini matendo yanayotendeka yanaonesha hakuna nia ya dhati ya kuleta amani visiwani humo….

Read More

KAMPUNI YA SUKARI YA KILOMBERO YAUNGANA NA WAPANDA MLIMA KUTOKA NCHI 8 KWENYE KAMPENI YA ‘KILIMANJARO EXPEDITION’ HUKU CHAPA YA BWANA SUKARI IKITARAJIWA KUPANDISHWA KWENYE KILELE CHA MLIMA

 Kampuni ya Sukari ya Kilombero, kwa kushirikiana na wapanda mlima 17 kutoka nchi 8 tofauti wanaoiwakilisha ABF Sugar na Illovo Sugar Africa, wameanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro, kilele kirefu zaidi barani Afrika, kama sehemu ya Kampeni yao ya ‘Kilimanjaro Expedition’.  Kundi hilo lilianza safari yao asubuhi na mapema siku ya jumamosi kwa kupitia njia…

Read More

Caravans T20: Alliance watakata ligi ya kriketi

ALLIANCE Caravans iliitia adabu Balakshina Foundation kwa ushindi mnono wa mikimbio 64 katika mchezo wa mizunguko 20 uliofanyika jijini Dar es Salaam, Jumamosi. Alliance ilishinda kura ya kuanza na kutengeneza mikimbio 149, huku ikipoteza wiketi tisa na kuwapa kazi nzito Balakshina kuzifikia alama hizo na kupata mikimbio 80 tu baada ya wote kutolewa. Kassim Nasoro…

Read More

32 wajitokeza REA kuondoa mafuta ya vidumu vijijini

Dar es Salaam. Watu 32 wamejitokeza kuomba mikopo ya Sh75 milioni inayotolewa na Serikali kwa ajili ya kujenga vituo vya mafuta vya gharama nafuu maeneo ya vijijini, ikiwa ni hatua ya kutokomeza uuzwaji wa mafuta ya dizeli na petroli kwenye vidumu. Maombi hayo ambayo sasa yapo katika mchakato wa kufanyiwa tathmini, pia yanakuja wakati ambao…

Read More

MKURUGENZI MKUU NIRC AWATAKA WAKANDARASI KUSAIDIA JAMII MAENEO YA MIRADI

 NA MWANDISHI WETU, Katavi. MKURUGENZI Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliji (NIRC), Raymond Mndolwa, amewataka Wakandarasi wanaojenga miundombinu ya umwagiliaji kuhakikisha wanasaidia jamii hususani maeneo yenye miradi. Mndolwa amesema hayo katika ziara ya ukaguzi na ufuatiliaji wa ujenzi wa miradi ya umwagiliaji katika kata ya Mwamkulu wilayani Mpanda mkoani Katavi. Katika ziara hiyo  alikagua na…

Read More

KenGold yawaficha mastaa Tukuyu | Mwanaspoti

WAKATI Ken Gold ikijichimbia Tukuyu wilayani Rungwe mkoani Mbeya kuanza kambi ya kujiandaa na Ligi Kuu msimu ujao, uongozi na benchi la ufundi wameeleza sababu za kujificha huko na matarajio yao. Timu hiyo ya wilayani Chunya inajiandaa kucheza Ligi Kuu kwa mara ya kwanza, ambapo tayari imemalizana na baadhi ya mastaa huku ikiendelea na usajili…

Read More