
Kagame: Mara ya kwanza niliipata nafasi ya urais kama ajali
Kigali. Mwenyekiti wa Chama cha RPF Inkotanyi na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amesema kwa mara ya kwanza, nafasi ya urais aliipata kama ajali tu, huku akiwataka wote wanaouliza maswali kuhusu mrithi wake, waliache suala hilo mikononi mwa Wanyarwanda wenyewe. Kagame anayegombea kiti cha urais kwa mara ya nne mfululizo, ameyasema hayo Jumamosi Julai 13,…