
Usafiri wa boti Bagamoyo – Zanzibar wanukia
Bagamoyo. Huenda changamoto ya usafiri kwa wakazi wa Bagamoyo, Chalinze, Kibaha na mikoa ya jirani kulazimika kupitia Dar es Salaam pale wanapotaka kwenda visiwani Zanzibar, ikafikia ukomo hivi karibuni. Kufikia ukomo huko kunatokana na uwepo wa maandalizi ya ujenzi wa gati litakalotumika katika safari hizo kwenye bandari ya Bagamoyo. Akizungumza na Mwananchi jana Julai 12,…