
Wananchi Sengerema wataka ujenzi wa vivuko uharakishwe
Mwanza. Wananchi katika Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza wameiomba Serikali kuharakisha malipo ya ujenzi wa vivuko vya Kome III na Kivuko cha Buyangu Mbalika ili vikamilike na kutoa huduma kwa wananchi. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Julai 12, 2024 baada ya viongozi na wananchi waliotembelea maendeleo ya ujenzi wa vivuko vinavyotengenezwa na Kampuni ya Songoro…