
Talaka zinavyoathiri wanawake kumiliki ardhi Pwani-4
Katika toleo lililopita tuliangazia jinsi migogoro ya ardhi inavyoongezeka kutokana na mkanganyiko wa sheria na mianya katika usimamizi wa ardhi, huku wataalamu wakipendekeza marekebisho ya sheria na elimu ya kisheria kwa wananchi ili kupunguza migogoro hiyo. Endelea.. Kuvunjika kwa ndoa ni miongoni mwa changamoto inayotajwa kuchochea wanawake kukosa haki ya kumiliki ardhi nchini, hususani katika Mkoa…