
Wakili Kitale apingwa kesi dhidi ya TLS, uamuzi Agosti 9
Mwanza. Mvutano wa kisheria umeendelea kuibuka katika shauri lililofunguliwa na Wakili Steven Kitale katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya mjibu maombi wa nne, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kuwasilisha pingamizi likiwa na hoja mbili. Wajibu maombi katika shauri hilo namba 17558/2024, lililoitwa mahakamani leo Jumanne Julai 30, 2024 kwa ajili ya kusikilizwa ni…