
Hapa kazi ipo | Mwanaspoti
UKISIKIA mtego ndio huu uliofanywa na mabilionea wa Simba na Yanga. Ndio, Yanga imesajili majembe ya maana kwa gharama kubwa ili kuimarisha kikosi. Bilionea Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ kupitia uongozi wa klabu hiyo, amemsajili Clatous Chama kutoka Simba, amemvuta Prince Dube kutoka Azam kwa gharama kubwa. Amemleta Chadrak Boka kutoka DR Congo. Amembakisha Stephane Aziz…