Okejepha aona mwanga Simba | Mwanaspoti

KIUNGO mkabaji mpya wa Simba, Mnigeria Augustine Okejepha amesema amefurahishwa na maandalizi ya timu hiyo yanayoendelea kambini, Ismailia Misri, huku akiweka wazi kila mchezaji kwa sasa anaonyesha anataka kukipambania kikosi hicho msimu ujao. Nyota huyo aliyejiunga na Simba akitokea Rivers United ya Nigeria, alisema licha ya ugeni wake ndani ya timu hiyo na kutozoeana na…

Read More

TRUMP ASHAMBULIWA KWA RISASI – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchi Marekani na Rais wa zamani Donard Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania.   Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa siko la kulia baada ya milio ya risasi kadhaa kusikika mkutanoni…

Read More

Miili 60 yapatikana baada ya operesheni ya Israel – DW – 12.07.2024

Hii baada ya jeshi la Israel kutangaza kusitisha operesheni yake katika eneo hilo. Huku haya yakijiri rais wa Marekani Joe Biden amesema mazungumzo juu ya mpango unaowezekana wa kusitisha mapigano “yanapiga hatua.” Soma pia: Hamas yasema haijapokea taarifa kutoka kwa wapatanishi Israel imevurumisha makombora katika mji wa Gaza kwa wiki moja mfulizo, hatua ambayo wakazi wameitaja…

Read More

Aliyewahi kuwa kigogo wa  CCM Dodoma arejea CUF 

Dodoma. Kada na aliyewahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Othman Dunga amekihama chama hicho na kwenda Chama cha CUF, akieleza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Kondoa Mjini katika uchaguzi wa mkuu wa mwaka 2025. Dunga ni mwenye historia ndefu kisiasa aliyeanzia upinzani kwenye chama cha CUF,…

Read More

NOELA: Chama wa Kikapu MVP mara 10

UKIMUONA nje ya kazi unaweza kumdharau, lakini ukija kazini kwake utapata stori ya namna anavyosifika kwa uchezaji uwanjani. Noela Uwandameno (22), ambaye ni mchezaji wa Vijana Queens na mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere anasimulia namna alivyoingia kwenye mpira wa kikapu na anavyojigawa pia kwenye masomo. “Ni miaka saba sasa tangu nianze kucheza…

Read More