ONDOENI URASIMU, WEZESHENI WAFANYABIASHARA – DK.MWINYI – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa Taasisi zinazosimamia biashara na uwekezaji, Bara na Zanzibar kuhakikisha wanaondoa urasimu na kuwawezesha wafanyabiashara zaidi.     Rais Dkt.Mwinyi aliyasema hayo tarehe 13 Julai 2024, alipofunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya sabasaba, Temeke Mkoa…

Read More

Wanawake na Wasichana Wanatafuta Afya zao za Kimapenzi na Uzazi kwenye Mstari wa mbele wa Vita Ambavyo Havikuanzisha — Masuala ya Ulimwenguni

Credit: UNFPA/Eldson Chagara Nsanje, Malawi – Eliza, 30, na mtoto wake mchanga wakiwa nyumbani kwao katika kambi ya Dinde baada ya nyumba yao kuporomoka na walifukuzwa wakati wa Storm Freddy mnamo Machi 2023. Mtoto mchanga wa Eliza anapokea uchunguzi kutoka kwa Fainess Yobe, Afisa wa Kiufundi wa UNFPA wa Uimarishaji wa Mfumo wa Afya. ….

Read More

Sheria mpya ya madini itakavyodhibiti utoroshaji madini, vito

Dar es Salaam. Baada ya mabadiliko ya sheria ya madini yaliyofanyika mwaka 2017, Serikali ya Tanzania imedhamiria kufanya mabadiliko mengine ili kuimarisha udhibiti wa matendo maovu katika sekta hiyo, ukiwemo utoroshaji madini. Dhamira ya mabadiliko hayo ni kuhakikisha vitendo vya utoroshaji madini na vito vilivyokithiri katika migodi mbalimbali nchini vinadhibitiwa. Akizungumzia hayo hivi karibuni, Naibu…

Read More

Serikali Kuboresha Minada Nchini – MICHUZI BLOG

Na.Mwandishi Wetu -Dar es Salaam. Wizara ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi imejipanga kuboresha miundombinu ya Minada iliyopo nchini ili iweze kukidhi mahitaji ya watumiaji hasa katika sehemu za uzio, vyoo, maji, taa pamoja na mifumo ya malipo. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Prof Daniel Mushi Julai 12,…

Read More

Beki mpya JKT aota makubwa

BEKI mpya wa JKT Tanzania, Abdulrahim Seif Bausi aliyesajiliwa kutoka Uhamiaji ya Zanzibar, amesema anatambua Ligi Kuu Bara ni ngumu na inahitaji utulivu na kujituma, ili aweze kung’ara msimu ujao. Beki huyo ni mtoto wa kocha wa timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’, Seif Bausi, alisema alikuwa anaifuatilia ligi ya Bara, hivyo haoni kama…

Read More

DC Magoti ajipanga kuwanyanyua wajasiriamali

Na Elizabeth Zaya, Dar es Salaam MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, amesema wamejipanga kuwasaidia wajasiriamali katika wilaya hiyo ili wafanye biashara za viwango vya juu. Magoti alitoa kauli hiyo jana alipotembelea maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam(DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa Temeke. Mkuu…

Read More