
Mapigano makali yaendelea kuripotiwa Gaza – DW – 12.07.2024
Mapigano makali na mashambulizi ya mabomu yameripotiwa katika mji wa Gaza na maeneo mengine ya ardhi ya Wapalestina leo Ijumaa huku wapatanishi wakiendelea na juhudi za kusitisha vita vinavyoendelea. Shirika la ulinzi wa raia katika eneo linaloendeshwa na Hamas huko Gaza limesema kwamba takriban miili 40 imepatikana katika juhudi za awali kutafuta raia katika wilaya…