
RAIS DKT. SAMIA AIPA HONGERA NSSF
Na MWANDISHI WETU. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi kwa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) baada ya kuelezwa mafanikio mbalimbali ambayo NSSF imeyapata katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wake. Pongezi hizo zimetolewa tarehe 13 Julai, 2024 wakati alipotembelea banda la NSSF kwenye…