
WANANCHI MKALAMA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KWA WINGI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Ndugu Godfrey Mzava amewataka wananchi wilayani Mkalama kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba 2024. Wito huo ameutoa Julai 10,2024 mara baada ya kumaliza kukagua, kuzindua na kuweka jiwe la Msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serikali wilayani…