Majaliwa kuongoza NBC Dodoma Marathon, jezi zazinduliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza washiriki zaidi ya 8,000 wa mbio za NBC Dodoma Marathon zitakazofanyika Julai 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, imefahamika. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hafla ya kumtambulisha mgeni rasmi huyo imefanyika jijini Dar es Salaam jana jioni ambapo pia ilishuhudiwa muandaaji wa mbio hizo Benki ya…

Read More

Teknolojia inavyorahisisha maisha: Leading East Africa Limited yaleta suluhisho la maji safi

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Kadri teknolojia inavyozidi kukua, maisha yanakuwa rahisi zaidi. Sasa, hakuna ugumu tena wa kusafisha maji ya kunywa au matumizi mengine kwa kuyasubiri kwa muda mrefu. Mashine za kisasa zinazoweza kukurahisishia kazi hiyo ndani ya muda mfupi zimekuwa suluhisho bora, na maji yako yanakuwa safi kwa matumizi. Suluhisho hili linapatikana kupitia…

Read More

Alichokisema Sugu kuondoka kwa Msigwa Chadema

Iringa. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa kimesema kuondoka kwa aliyekuwa mwenyekiti wa kanda hiyo, Mchungaji Peter Simon Mgwa hakuathiri chochote katika chama hicho, kwa sababu chama hicho ni jeshi kubwa la watu wenye uwezo wa kukiongoza. Hayo yamebainishwa Julai 12, 2024 mkoani Iringa na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph…

Read More

Kina Diarra watishia kujiondoa Mali kisa sakata la Traore

Dar es Salaam. Kufuatia kusimamishwa kwa nahodha wa timu ya Taifa Mali, Hamari Traoré wachezaji wenzake wametishia kujiondoa kwa pamoja kwenye kikosi hicho kwa kile walichokitaja uonevu kwa nahodha wao. Nahodha huyo amefungiwa kwa kosa la yeye na baadhi ya wachezaji wenzake kumfokea na kumsonga mithili ya kumpiga mwamuzi Mohammed Adel raia wa Misri katika…

Read More