TSHABALALA AFARIKI DUNIA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Aliyekuwa Mchezaji Nguli wa soka wa Afrika Kusini, Stanley ‘Screamer’ Tshabalala amefariki Dunia leo Julai 12, 2024 akiwa na umri wa miaka 75. Itakumbukwa mnamo Machi mwaka huu, Tshabalala alipata majeraha baada ya kupigwa risasi alipovamiwa nyumbani na majambazi nyumbani kwake. Tshabalala anakumbukwa kama gwiji wa soka na mwanzilishi wa klabu ya Kaizer Chiefs na…

Read More

MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AHANI MSIBA WA MWANAKIJIJI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiifariji familia na waombolezaji mbalimbali kufuatia kifo cha Bi. Doleta Minya kilichotokea tarehe 09 Julai 2024. Makamu wa Rais ametoa pole hizo wakati alipoitembelea familia ya marehemu akiwa Kijiji Kasumo Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma tarehe 11 Julai 2024.  

Read More

Rais Samia ateua, amwapisha bosi mpya Usalama wa Taifa

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Suleiman Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS). Mombo anachukua nafasi ya Balozi Ali Idi Siwa ambaye amestaafu. Uteuzi huo umetangazwa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Mululi Majula Mahendeka kupitia taarifa iliyosainiwa na Sharifa Nyanga, Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu leo Alhamisi…

Read More