
Watuhumiwa 23 wa utapeli wa ajira wadakwa Tabora
Tabora. Watu 23 ambao ni baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Alliance in Motion Global, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Tabora kwa tuhuma za kufanya udanganyifu kwa vijana zaidi ya 100 ambao walipigiwa simu kutoka mikoa ya Manyara, Arusha, Singida, Dodoma na Morogoro kwa lengo la kuwapatia ajira zenye mshahara mnono, badala yake…