
WAZIRI JAFO AIPONGEZA TBS KWA UTENDAJI MZURI, AITAKA IENDELEE KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA UFANISI
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo amelipongeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa utendaji mzuri na kulitaka kuongeza nguvu katika utoaji wa huduma kwa wafanyabiashara hususani upatikanaji wa alama ya ubora wa bidhaa ili kukuza biashara, kuongeza ajira, Pato la Taifa na uchumi kwa ujumla. Ameyasema hayo Julai 11, 2024, Ubungo jijini…