
Haya hapa mageuzi matano katika biashara Tanzania
Dar es Salaam. Tanzania inatarajia kushuhudia mageuzi matano katika sekta ya biashara ikiwemo kuongeza ushindani wa mauzo ya bidhaa nje ya nchi, Kuimarisha uwezeshaji na kurahisisha biashara. Mambo mengine yanayotarajiwa ni kuchochea uongezaji wa thamani ya kila bidhaa inayozalishwa nchini, kuimarisha uwezeshaji, kurahisisha biashara na kuimarisha ushirikiano na majirani. Hayo yamesemwa leo Jumanne Julai 29,…