
Pete janja itakayofuatilia mapigo ya moyo kuingia sokoni Julai 24
Dar es Salaam. Miaka kadhaa tangu dunia ianze matumizi ya simu janja na baadaye saa janja, teknolojia mpya ya pete janja ‘smart ring’ itakayokuwa na uwezo wa kufuatilia afya ya mvaaji na mengineyo inatarajiwa kuingizwa sokoni Julai 24, 2024. Baada ya miezi kadhaa ya kujiridhisha, kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imetangaza ujio wa…