Mwabukusi auweka njiapanda uchaguzi TLS, kesi yafunguliwa

Mwanza. Sakata la uchaguzi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) limeendelea kuchukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Ziwa, Steven Kitale kufungua shauri la mapitio ya kimahakama dhidi ya TLS. Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi, leo Jumatano, Julai 10, 2024, Kitale amesema katika shauri hilo namba 16018/2024, lililofunguliwa Mahakama…

Read More

Ruto avunja baraza la mawaziri, amtoa Mwanasheria Mkuu

Nairobi. . Rais wa Kenya, Dk William Ruto, amewafuta kazi mawaziri wote katika Baraza la Mawaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Justin Muturi, kutokana na maandamano yaliyoongozwa na vijana wa Gen-Z dhidi ya serikali yake. Kwa mujibu wa tovuti ya Nation, ni Waziri Mkuu pekee, Musalia Mudavadi, ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje…

Read More

Kukodisha visiwa ZNZ ni uwamuuzi wa kimkakati

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema uamuzi wa kukodisha visiwa kwa uwekezaji wa muda mrefu ulikuwa uamuzi wa kimkakati ambao na kusababisha kusajiliwa kwa miradi 16 yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 384 za uwekezaji mtaji na kutoa ajira zaidi ya 7,000 kwa wenyeji. Rais Dkt.Mwinyi aliyasema…

Read More

Kagame kurejea madarakani? – DW – 11.07.2024

Paul Kagame ambaye kimsingi yeyote angeweza kusema ndiye amekuwa kiongozi wa Rwanda tangu kukoma kwa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994, anapambana na upinzani kutoka kwa kiongozi wa chama cha Kijani Frank Habineza. Habineza ndiye mgombea pekee wa chama cha upinzani  aliyeidhinishwa kugombea mwaka huu. Mgombea mwingine ni Philipe Mpayimana anayewania nafasi ya Urais kama…

Read More

'Mkutano wa Doha Umeibua Wasiwasi Umoja wa Mataifa Unahalalisha Taliban Isivyo Moja kwa Moja' – Masuala ya Ulimwenguni

na CIVICUS Jumatano, Julai 10, 2024 Inter Press Service Julai 10 (IPS) – CIVICUS inajadili kutengwa kwa wanawake katika mazungumzo ya kimataifa kuhusu Afghanistan ambayo kwa sasa yanafanyika nchini Qatar na Sima Samar, mwenyekiti wa zamani wa Tume Huru ya Haki za Binadamu ya Afghanistan (AIHRC). AIHRC ni taasisi ya kitaifa ya Afghanistan inayojishughulisha na…

Read More

Srelio, Crows zaanza na moto

TIMU za kikapu ya Srelio na Crows zimeanza kuzitisha timu zinazoshiriki ligi ya kikapu mkoa wa Dar es Salaam (BDL), baada ya kushinda katika mchezo wao wa kwanza wa mzunguko wa pili wa ligi hiyo uliopigwa  kwenye Uwanja wa Don Bosco Youth Centre. Vitisho vya timu hizo vimetokana na timu ya Srelio kuifunga timu ya…

Read More

Vifungashio vya madini kuboreshwa kudhibiti utoroshaji

TUME ya madini ipo kwenye mchakato wa kuboresha vifungashio vya madini katika masoko ya madini nchi nzima ikiwa ni mkakati wa kuendelea kudhibiti utoroshaji wa madini. Hayo yamesemwa na Aloyce Bwana Mteknolojia Maabara katika Maonesho ya 48 Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba). Amesema, mkakati wa Tume kuanzia mwaka huu wa fedha 2024/2025 ni…

Read More