
Miili ya Warundi wawili waliokufa ajalini Kilosa yatambuliwa na ndugu zao
Kilosa. Ndugu wa raia wawili wa Burundi waliofariki dunia kwenye ajali ya lori iliyotokea juzi katika eneo la Kwambe, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro wamefika Kilosa na kutambua miili hiyo. Marehemu hao ni Izombingomba Leonard (67), aliyekuwa dereva wa lori na Ntorenganya Modeste (37), aliyekuwa dereva msaidizi ambao walifariki dunia baada ya lori walilokuwemo kugongana…