Hakuna Mafuta, hakuna chakula – DW – 11.07.2024

Akiwa na umri wa miaka 75, Galiche Buwa ameishi na kushuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe, njaa na majanga ya asili, lakini mjane huyo wa Sudan Kusini, mama wa watoto wanne, mara zote alifanikiwa kupata riziki na maisha yalisonga, kutokana na biashara yake ya kuuza vyakula na mboga mboga. Lakini sasa, hata biashara hiyo iko…

Read More

VETA yaizima B4 ligi ya mkoa Shinyanga

TIMU ya kikapu  ya Veta ilidhihirisha ubora wake baada ya kuifunga timu ya B4 Mwadui kwa pointi 45-39, katika ligi ya kikapu mkoa wa Shinyanga iliyochezwa kwenye Uwanja wa Mwadui  Kamishina wa ufundi na mashindano wa mkoa huo, George Simba aliliambia Mwanaspoti kwamba, ameridhishwa na ushindani ulioonyeshwa na timu zote mbili katika mchezo huo uliokuwa…

Read More

NIONAVYO: Kombe la Kagame, Walioitwa hawaitiki

MICHUANO ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) inaendelea jijini Dar es Salaam. Hii ni moja ya michuano ya muda mrefu ya klabu Afrika. Awali yalijulikana kama Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati na baadae mwaka 2002, yaliitwa Kombe la Kagame baada ya kudhaminiwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame ambaye ni…

Read More

Shule ya Istiqaama ya Tanga yapania kuongoza kitaifa usafi

Na Mwandishi Wetu.  TangaBaada ya kushika nafasi ya pili kwa usafi kitaifa kwa upande wa shule za Sekondari za Shule ya Istiqaama ya Jijini Tanga imepania kuongoza kitaifa katika mashindano yajayo ya Afya wa Mazingira kundi la shule za Sekondari Tanzania Bara. Katika masjindano yaliyofanyika mwaka huu Kibaha Pwani shule hiyo ilishika nafasi ya pili,…

Read More

DB Troncatti yazidi kutesa BDL

TIMU ya DB Troncatti inaendelea kutesa katika ligi ya kikapu mkoa wa Dar es Salaam (BDL) upande wa  wanawake, ikionyesha ubabe kwa kuifunga timu DB Lioness kwa pointi 72-55. Katika mchezo huo, DB Troncatti iliongoza katika robo ya kwanza  kwa pointi 19-12, 17-12, 22-16 na 14-15. DB Troncatti  ilimaliza mzunguko wa kwanza kwa kutopoteza mechi…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Azam imeupiga mwingi kwa Kipre JR

AZAM FC imefanya uamuzi mgumu wa kumuuza winga wake Kipre Junior kwenda MC Alger ya Algeria kwa dau linalokadiriwa kufikia Sh700 milioni. Uamuzi wa kumuuza Kipre Junior umefanyika siku chache baada ya timu hiyo kumruhusu mshambuliaji Prince Dube aondoke baada ya mchezaji huyo kulipa kiasi kama hicho ambacho Azam imekipata kwa kumuuza Kipre. Kwa maana…

Read More

MAHAKAMA ZISITOE DHAMANA KWA MAFISADI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni anasema ufisadi unaweza kumalizika kwa urahisi ikiwa Mahakama haitatoa dhamana kwa mafisadi. Museveni ameyasema hayo wakati akihutubia Baraza la mawaziri katika Taasisi ya Uongozi ya Kyankwanzi, ambapo amesema msaada pekee unaohitajika kutoka kwa Mahakama sio dhamana kwa wale wanaotuhumiwa kwa mauaji, uhaini, ugaidi, ubakaji, unajisi, rushwa na wizi. Na aliwakumbusha…

Read More