
Viongozi wa NATO wahitimisha mkutano wao wa kilele – DW – 11.07.2024
Viongozi wa Jumuiya ya kujihami ya NATO waliokusanyika mjini Washington, wanatarajiwa hivi leo kufanya mazungumzo na viongozi wa Japan, Korea Kusini, Australia na New Zealand, ambayo yatafuatiwa na mazungumzo zaidi na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aliyeahidiwa na muungano huo kupewa misaada zaidi ya kijeshi. Mikutano hiyo inahitimisha mkutano wa kilele wa siku tatu wa…