
Dau 10 Bora za Kukupa Ushindi Katika Kubashiri Michezo! – MWANAHARAKATI MZALENDO
Dau la Soko la 1X2 Hii ndiyo aina maarufu zaidi ya kubashiri ambapo unaweka dau kwenye ushindi wa nyumbani (1), sare (X), au ushindi wa ugenini (2). Mfano: Katika mechi kati ya Argentina na Colombia, unaweza kuweka dau kwamba Argentina itashinda (1), watatoa sare (X), au Colombia itashinda (2). Hili dau ni rahisi kuelewa na…