
RIPOTI YATAJA CHANZO BARABARA ILIYOPASUKA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Ripoti ya uchunguzi iliyofanywa na wataalamu wa miamba kutoka Taasisi ya Geolojia na utafiti wa madini Tanzania (GST), kwa kushirikiana na TANROADS, na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kufuatia mpasuko wa ardhi na kuporomoka kwa tuta la barabara uliojitokeza katika eneo la Busunzu lenye urefu wa mita 200 haijatokana na makosa ya Mkandarasi kwenye…