
Wafanyabiashara Moshi, wakubali yaishe, wafungua maduka
Moshi. Mgomo wa wafanyabiashara wa kufunga maduka katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mjini Moshi, umemalizika baada ya kukubaliana na Serikali kuyafungua na kusubiri hadi mwaka ujao wa fedha, kwa kuwa suala hilo lipo kisheria. Wafanyabiashara hao wamegoma leo Jumanne Julai 30, 2024 wakisema, wamelazimika kufunga maduka yao baada ya manispaa kushindwa kutekeleza ahadi waliyoahidi. Wamesema…