NIC yaweka mikakati ya kulinda Uwekezaji nchini

Mkurugenzi Mtendaji  wa NIC Insurance  Kaimu  Mkeyenge akiwa katika Maonesho ya Sabasaba katika Ofisi ya NIC Insurance na baadhi ya Wadau kwa moja kwa moja na NIC. *Kutokana na Bima zao kwa kulipa fidia ya majanga kwa wakati. Na Chalila Kibuda Mkurugenzi mtendaji wa NIC Insurance NIC Kaimu Abdi Mkeyenge amesema kufuatia uwekezaji unaondelea nchini…

Read More

TANZANIA KUNUFAIKA NA MRADI WA ‘SUSTAINABLE OCEAN PHASE II’

TANZANIA ni miongoni mwa nchi zitakazo nufaika na mradi wa “Sustainable Ocean Phase II”unaosimamiwa na Taasisi ya Kitaifa ya Haki za Binadamu nchini Denmark(Danish Institute of Human Rights). Hayo yamebainishwa na Mshauri Mkuu wa Taasisi hiyo Bi.Carol Rask wakati walipotembelea Ofisi ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora hivi karibuni Jijini Dodoma. Bi.Carol…

Read More

BDO yapigia chapuo teknolojia kutatua changamoto

Unguja. Wakati mabadiliko ya teknolojia yakiendelea kukua kwa kasi duniani kote, imeelezwa nchi za Afrika bado zinakumbwa na changamoto katika matumizi ya teknolojia hizo. Hayo yamebainika katika mkutano wa kupanga mikakati ya kwenda kidigitali kisiwani Zanzibar. Akizungumza katika mkutao huo uliofanyika hivi karibuni, Mkurugenzi Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu, Ushauri wa Kodi na Biashara (BDO)…

Read More

Wadau watoa mitizamo, mapendekezo matukio ya utekaji Tanzania

Dar es Salaam.  Wananchi, wadau na wanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania, wameeleza chanzo cha watu wanaodaiwa kupotea au kutekwa huku wakitaja suluhisho la kuondokana na vitendo hivyo nchini. Wamesema suala la ushirikina, visasi au kuzima harakati za kundi fulani linaloonekana kuwa mbele kuhamasisha watu kudai haki fulani ni miongoni mwa vyanzo vinavyodaiwa kusababisha…

Read More

WANAHARAKATI WAIPONGEZA SERIKALI KWA MAFANIKIO DIRA YA TAIFA 2025

WANAHARAKATI wa masuala ya Jinsia na Maendeleo wameipongeza Serikali kwa uwajibikaji mkubwa kwenye Dira ya taifa ya miaka 25 iliyopita katika nyanja ya elimu ,afya pamoja na sekta ya habari na mawasiliano. Pongezi hizo zimetolewa leo Julai 10,2024 Mabibo -Jijini Dar es salaam,kwenye semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) zinazofanyika kila jumatano TGNP-Mtandao, Akizungumza wakati…

Read More

Mwabukusi auweka njiapanga uchaguzi TLS

Mwanza. Sakata la uchaguzi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) limeendelea kuchukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Ziwa, Steven Kitale kufungua shauri la mapitio ya kimahakama dhidi ya TLS. Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi, leo Jumatano, Julai 10, 2024, Kitale amesema katika shauri hilo namba 16018/2024, lililofunguliwa Mahakama…

Read More

Vielelezo vyaibua mvutano mkali kesi ya ukahaba

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania inatarajia kuwa na mashahidi 15 na vielelezo 10 katika kesi ya kufanya vitendo vya aibu mbele ya hadhara inayomkabili Amina Ramadhani na wenzake 17. Mashahidi hao wanatarajia kutoa ushahidi wao, Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive, Dar es Salaam baada ya upelelezi wa shauri hilo kukamilika na washtakiwa kusomewa…

Read More